Papa Noel ndie mwenye kusherekewa tarehe 25 Déc.. .pdf


À propos / Télécharger Aperçu
Nom original: Papa Noel ndie mwenye kusherekewa tarehe 25 Déc...pdf
Auteur: Mwendapole

Ce document au format PDF 1.5 a été généré par Microsoft® Word 2016 / www.ilovepdf.com, et a été envoyé sur fichier-pdf.fr le 24/12/2017 à 08:43, depuis l'adresse IP 41.186.x.x. La présente page de téléchargement du fichier a été vue 404 fois.
Taille du document: 827 Ko (7 pages).
Confidentialité: fichier public


Aperçu du document


BABA NOËL (SANTA CLAUS) HUIGA BWANA YESU-KRISTO
Tamanio ya lusifa daima ni kutawala nafasi ya Mungu Baba (Isaya 14: 12-15) na kuabudiwa badala ya MUNGU
(Luka 4: 7; 2WaThesalonike 2: 3-4 -<< Yule mpingamizi,ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho
Mungu ama kuabudiwa;hata yeye mwenyewe huketi katika hekalu la Mungu,akijionyesha nafsi yake
Kana kwamba yeye ndiye Mungu >>). Labda hujawai fikiria hii,lakini utamaduni wa Krismasi na wa Santa Claus unaoenea
Duniani ni njia ya Shetani kuiba utukufu na maabudu inayotolewa kwa BWANA YESU KRISTO.

1
BABA NOËL (SANTA CLAUS) NI WA MILELE

YESU-KRISTO NI WA MILELE

Kwa watoto,Santa Claus(Baba Noel) yuko daima

UFUNUO 1:18 <<…Mimi ni wa kwanza

Hakuna mtu anayejua chochote kuhusu mwanzo wake,

Na wa mwisho,na aliye hai; nami nalikuwa
nimekufa,na tazama,ni hai hata milele na
Milele. Nami ninazo funguo za mauti,za
kuzimu.»

wale wanaomwamini yeye wanadhani kwamba
Atakuwepo daima(always).
2
BABA NOËL (SANTA CLAUS) HUISHI

YESU-KRISTO HUISHI NA MUNGU KATIKA

KASKAZINI

« KASKAZINI » (Inazungumza Biblia)

Kwa mjibu wa jadi,Santa Claus anaishi katika pole
Ya Kaskazini, mahali pa juu juu ulimwenguni.

ZABURI 48:1-2 <<1 Bwana ndiye aliye

mkuu,na mwenye kusifiwa sana.
Katika mji wa Mungu wetu,
Katika mlima wake mtakatifu
2 Kuinuka kwake ni mzuri sana,
Ni furaha ya dunia yote.Mlima Sayuni
Pande za Kaskazini,Mji wa Mfalme mkuu>>
3
BABA NOËL (SANTA CLAUS) HUVAA

UFUNUO WA YOHANA WAFAFANUA YESU-

NGUO NYEKUNDU

KRISTO AKIVAA NGUO NYEKUNDU

Santa Claus(baba noël)huvaa suti na kofia
Katika manyoa nyekundu.

UFUNUO 19:13 << Naye amevikwa vazi

Lililochovya katika damu,na
Jina lake aitwa,Neno la Mungu>>

4
BABA NOËL (SANTA CLAUS)AKO NA NYELE

KITABU CHA UFUNUO KINAFAFANUA JESUS-

NYEUPE KAMA PAMBA NYEUPE

KRISTO AKIWA NA NYWELE KAMA
PAMBA NYEUPE

Daima, Santa Claus,anawakilishwa kama

UFUNUO 1:14 << Kichwa chake na

Mzee mwenye nyele nyeupe kama

Nywele zake zilikuwa nyeupe

pamba.

Kama sufu nyeupe,kama
theluji…>>
5

BABA NOËL (SANTA CLAUS) HUZUNGUKA

YESU-KRISTO ALIPAA JUU SAANA NA

DUNIANI KWA KUGAWANYA GIFTS

KUWAPA WATU VIPAWA

Baba Noël(Santa Claus) ana uwezo na

WAEFESO 4:8 << Hivyo husema,

Mvuto wa kuenda zaidi ya sheria na kuruka
Duniani kote kwa kutowa
Zawadi kwa watu.

Alipopaa juu aliteka mateka,
Akawapa wanadamu
VIPAWA >>
6

BABA NOËL (SANTA CLAUS) ANARUDI KARIBUNI
Wakati wa Krismasi, inasisitizwa mara

YESU-KRISTO ANARUDI KARIBUNI
UFUNUO 22:20 << Yeye mwenye

Kwa mara kupitia nyimbo na mihadhara

Kuyashuhudia haya asema,Naam;

Ya kurudi, ambayo Santa Claus

Naja upesi. Amina; na uje,

Atarudi karibuni.

Bwana Yesu! >>

7
PAPA NOËL (SANTA CLAUS) NI ALIYEKUWEPO

YESU-KRISTO NI ALIYEKUWEPO(YOTE
KAMA MUNGU BABA YAKE)

Watoto wanafundishwa kuwa Papa Noël

MITHALI 15:3 << Macho ya

BWANA yako kila mahali;
Yakimchunguza mbaya na
mwema.>>

"Anajuwa unapokuwa mzuri,na
Wakati umekuwa mbaya".

MATHAYO 9:4 << Naye Yesu,

Hali akijua mawazo yao,akasema:
Mbona mnawaza maovu
Mioyoni mwenu ? >>
8
PAPA NOËL(SANTA CLAUS) NI ALIEPO

YESU-KRISTO NI ALIEPO

Santa Claus yuko popote kulingana na

MATHAYO 18 : 20 << Kwa kuwa walipo wawili

Watatu wamekusanyika kwa jina langu
Nami nipo papo hapo katikati yao.>>

Mila,kwasababu ana fursa ya kutembea
Nyumba zaidi ya bilioni katika kipindi
Cha saa ishirini na nne… Yaani zaidi ya
1100 kwa seconde!!!!!!
Na kupinga sheria tofauti wakati !!!!!!
9
PAPA NOËL NI OMNIPOTENT(ATAKAYE KUJA)

YESU-KRISTO NI OMNIPOTENT (MUNGU
ALIMUPA MAMLAKA YOTE DUNIANI
NA MBINGUNI)

Ana uwezo wa kupeleka zawadi kwa

MATHAYO 28:18 <<…Nimepewa mamlaka

Watoto zaidi ya biblioni kote,

Yote mbinguni na

Duniani.

Duniani . >>

10
PAPA NOËL ANA HUDUMA YAKE YA
KUWEKO KIROHO INAYOITWA « ELFES »

YESU KRISTO ANAHUDUMIWA NA VIUMBE
VYA KIROKO VINAVYOITWA « WAMALAIKA »

Ufafanuzi wa Elf: roho ndogo ya nguvu kubwa

MATHAYO 4 : 11 << Kisha Ibilisi

Yakionyesha nguvu za hewa,moto,wakati

Akamwacha;na tazama,wakaja

Mwengine Huishi hewani,na wenye faida,

Malaika wakamtumikia.>>

Wakati mwengine huishi katikati ya
Dunia na uovu.
(http://www.cnrtl.fr/definition/Elfe )

11
PAPA NOËL HUWAKILISHA AMANI

BWANA YESU-KRISTO NI
MFALME WA AMANI

Papa Noël anawakilisha Amani ambayo
Ulimwengu hutoa.

YOHANA 14:27 << Amani Nawaachieni;

Amani yangu nawapa;niwapavyo mimi
Sivyo kama ulimwengu
Utoavyo...>>

12
PAPA NOËL HUJIINGIZA NDANI YA
NYUMBA KAMA MWIZI.

BWANA YESU-KRISTO ATAKUJA
KAMA MWIZI USIKU.

Santa Claus(Papa Noël) huingia ndani ya

MATHAYO 24: <<42 Kesheni basi,
Kwa maana hamjui ni siku ipi
Atakayokuja Bwana wenu. 43 Lakini

Nyumba usiku kwanjia ya mwizi.

Fahamuni neno hili;kama mwenye
Nyumba angaliijua zamu mwizi
Atakayokuja,angalikesha,wala
Asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa.
44 Kwa sababu hiyo ninyi nanyi
Jiwekeni tayari;kwa kuwa saa msiyoDhani Mwana wa Adamu
Yuaja.>>
1WATHESALONIKE 5:2 << Maana ninyi
Wenyewe mnajua yakini ya kuwa
Siku ya Bwana yaja kama vile
Mwizi ajavyo usiku.>>
13

PAPA NOËL(SANTA CLAUS)«HUPENDA » WATOTO

BWANA JESU-KRISTO ANAPENDA
SANA WATOTO

Santa Claus « hupenda » watoto,
inaonekana.

MARKO 10:14 : << YESU,Alipoona
Alichukizwa sana,akawaambia,waacheni
Watoto wadogo waje kwangu, msiwazuie;
Kwa maana watoto kama
Hawa ufalme wa Mungu ni
wao. >>

14
PAPA NOËL HUMIZA YOTE

BWANA YESU-KRISTO ANAJIBU
MAOMBI YETU

Tunawafundisha watoto kumwuliza Papa

YOHANA 14:13: << Nanyi Mkiomba

Noël kila kitu wanachotaka.

Lo lote kwa jina langu,hilo
Nitalifanya,ili BABA atukuzwe ndani
Ya Mwana. >>

MPendwa, baada ya wewe kusoma huu utafiti,unafikiri sasa nini kuhusu
Chrismas au Noel Wanayo sherekea wanadamu, ati ni kuzaliwa kwa Mwokozi Yesu ?…
Kwa nini kusherekea Siku hii, wakati unatambua kwamba mwenye kupokea utukufu ni huyu
« Santa Claus » yaani Papa Noel… Ni yeye aliwekewa siku hii ili aabudiwe, lakini wakaona watu
watapinga ndipo Wakaamua kutia tu eti ni kuzaliwa kwa Yesu… ila kiukweli sio siku ya
kikristu, sababu ni siku ambayo dhambi nyingi zafanyika Duniani.
Mungu wa Israel akujalie neema utambue ujinga huu,na uache mara moja.
Email : mwendapole18@yahoo.com
Whatsapp: +243892206479


Aperçu du document Papa Noel ndie mwenye kusherekewa tarehe 25 Déc...pdf - page 1/7

 
Papa Noel ndie mwenye kusherekewa tarehe 25 Déc...pdf - page 2/7
Papa Noel ndie mwenye kusherekewa tarehe 25 Déc...pdf - page 3/7
Papa Noel ndie mwenye kusherekewa tarehe 25 Déc...pdf - page 4/7
Papa Noel ndie mwenye kusherekewa tarehe 25 Déc...pdf - page 5/7
Papa Noel ndie mwenye kusherekewa tarehe 25 Déc...pdf - page 6/7
 
Télécharger le fichier (PDF)
Sur le même sujet..

Ce fichier a été mis en ligne par un utilisateur du site. Identifiant unique du document: 00565486.
⚠️  Signaler un contenu illicite
Pour plus d'informations sur notre politique de lutte contre la diffusion illicite de contenus protégés par droit d'auteur, consultez notre page dédiée.