Ujenzi wa Hekalu la tatu la Jerusalem Israel .pdfNom original: Ujenzi wa Hekalu la tatu la Jerusalem Israel.pdf

Ce document au format PDF 1.4 a été généré par / iTextSharp™ 5.5.9 ©2000-2016 iText Group NV (AGPL-version); modified using iTextSharp™ 5.5.9 ©2000-2016 iText Group NV (AGPL-version), et a été envoyé sur fichier-pdf.fr le 20/05/2018 à 09:58, depuis l'adresse IP 41.186.x.x. La présente page de téléchargement du fichier a été vue 233 fois.
Taille du document: 373 Ko (3 pages).
Confidentialité: fichier public
Télécharger le fichier (PDF)


Aperçu du document


Israël/Jerusalem: UJENZI WA HEKALU
LA TATU: Hapa karibuni Hekalu la tatu
litajengwa. Katika Mlima Sinai, Mungu
aliwapa Waisraeli mamlaka ya kujenga
"patakatifu" ili aishi miongoni
mwao(Kutoka 25v8, Kumbukumbu la
Torati 12v5-12). Walipoingia nchi ya
Israeli, mamlaka hii ikasababisha ujenzi
wa Hekalu la kwanza chini ya Mfalme
Sulemani. Baada ya uharibifu wa
Hekalu la kwanza na uhamisho wa
Wayahudi huko Babeli, Mungu akaleta
tena watu wake kwenye nchi
aliyochagua. Wakati huo, walifika kwa
msaada wa Mfalme Koreshi kuijenga
nyumba ya Mungu (Ezra 1v2) ,na
kusababisha ujenzi wa Hekalu la pili.
Hekalu hili lilidumu miaka 600 mpaka
uharibifu wa Kirumi kwa mwaka 70
baada ya Yesu. Kwa njama ya kuliharibu
taifa la Wayahudi lisisikike tena milele;
Roma iliamua kuwapeleka Wayahudi

uhamishoni hatua kwa hatua na
kuwatawanya duniani kote. Hata hivyo,
Mungu wa Biblia hakusahau watu wake.
Mungu wa Israeli aliahidi kuwarudisha
watu wake siku moja, hata kama
wangehamishwa "sehemu za mbali
chini ya anga", alidai kuwa "nitawaleta
duniani ambapo baba zenyu walimiliki"
(Kumbukum 30: 4). Ndiposa kwa
mwaka wa 1948 israel ilifanyikiwa
kurudi, na kuanzisha taifa jipya.Kwa
sasa mamilioni ya Wayahudi wamerudi
kwenye nchi yao ya ahadi (Israël). So
kwa wakati huu naongea na wewe, vifaa
vyote viko tayari kuijenga hekalu la
tatu. Ila tunajuwa namna unabii
unavyosema kuhusu hekalu la tatu;
yaani kabla hekalu hilo lisimamishwe,
Kanisa au Bibi arusi wa Kristo atakuwa
ameondoka duniani, kwa kufichwa
gadhabu itakayo inyeshea dunia
[Ufunuo 3v10 ; Isaya 26v20]. Pia

usikose kujuwa kama nafasi hiyo ya
kuijenga hekalu la tatu, kuko Msikiti "Al
Aqsa" wa kiislamu, uliojengwa punde tu
walipobomoa hekalu la pili. So,
wayahudi nao wanasema hawatajenga
hekalu nafasi nyingine, isipokuwa papo
hapo hekalu lao lilibomolewa. Isitoshe
kubomoa Msikiti huo, itasababisha vita
vya kidini, na huenda ndio mwanzo wa
vita kuu ya tatu ya dunia. NB: Usiwe
mjinga wa kutokuelewa majira na
nyakati tulimo. Uwe wa kufanya utafiti
kila leo kuhusu taïfa hili la Israël,
sababu huko ndiko dalili ya kurudi kwa
Yesu yapatikana [Mathayo 24v32].
Bwana Yesu Akubariki wewe utakae
soma na kuelewa haya
mafunuo...Amen! Alikuwa wako Ndugu
Mwendapole Muzusa. Email:
muzusa2012@gmail.com Facebook:
Mwendapole Muzusa Mulume.


Ujenzi wa Hekalu la tatu la Jerusalem Israel.pdf - page 1/3
Ujenzi wa Hekalu la tatu la Jerusalem Israel.pdf - page 2/3
Ujenzi wa Hekalu la tatu la Jerusalem Israel.pdf - page 3/3

Documents similaires


ujenzi wa hekalu la tatu la jerusalem israel
papa noel ndie mwenye kusherekewa tarehe 25 dec
2
yy0u03f
le baader west coast road trip
andreescu contests around the world 2000 2001


Sur le même sujet..